mstatili

KiswahiliJamii:Maneno ya Kiswahili

mstatili uliolalia upande.

Nomino

mstatili (wingi mistatili)

  1. umbo lililo na pembe nne na pande nne ambazo kila mbili zinazokabiliana zalingana vipimo na pembe zake zina digrii tisini

Tafsiri

Jamii:Maneno ya Kiswahili