platform

KiingerezaJamii:Maneno ya Kiingereza

Noun

(Wingi; platforms)

  1. Ni neno la Kiingereza linalomaanisha mfumo wa kiteknolojia, kama vile mfumo endeshi au tovuti, unaoruhusu huduma au programu nyingine kujengwa na kufanya kazi juu yake.

Tafsiri

KiswahiliJamii:Maneno ya Kiswahili; jukwaa

Jamii:Maneno ya Kiingereza Jamii:Maneno ya Kiswahili