python

KiingerezaJamii:Maneno ya Kiingereza

Noun

(Wingi; pythons)

  1. Ni neno la Kiingereza linalomaanisha nyoka mkubwa asiye na sumu anayeua mawindo yake kwa kujiviringisha na kumbana.

Tafsiri

KiswahiliJamii:Maneno ya Kiswahili; chatu

Jamii:Maneno ya Kiingereza Jamii:Maneno ya Kiswahili